Thursday, January 31, 2013

SKETI NA BRAUZI YA KITENGE

Pic: MO Design
Model
Ni kawaida kwa wasichana au akina mama akivaa vazi au nguo iliyompendeza ni lazima aringe na atembee kwa mapozi, hata akisimama utamkuta anaweka mapozi tu asa akiwa na wenzie ambao tayari walishamsifia kuwa kapendeza... HEBU CHEKI HUYU DADA ALIVYOPENDEZA...
Pic: MO Design
Model
Huu ni muonekano wa upande wa nguo hii iliyompendeza dada huyu mrembo kama unavyoona...

Pic: MO Design
Model
Na huu hapa ni muonekano wa nyumba wa nguo hii...

Wednesday, January 30, 2013

VITENGE VYA UKWELI

Pic: MO Design
Model nancy classique
Pic: MO Design
na huu ndio muonekano wake wa nyuma... ni vitenge vya ukweli na vyenye viwango kutoka nigeria na kwingineko.

Tuesday, January 29, 2013

PAMBA ZA KILA AINA

Pic: MO Design
Model Nancy
Akina dada wa kisasa wenyewe wanasema ma sister do, na wale wanaotaka kwenda na wakati, mnaweza pia kutembelea pande hizi maana zina Vitu vya uweli kama hivi.

Pic MO Design
Model nancy
Unaweza kutoka mtoko yaani ule mtoko mtu akikutazama anasema YES, this girl is very smart,.. hii inatoka na how unaweza kupangilia mavazi au niseme how unaweza kuchagua mavazi ya kupigilia...

NGUO NI KUPENDEZA " nitazame mimi"

Pic: MO Design
Kuvaa vizuri na kupendeza sio mpaka upangiwe au usubiri kuambiwa vaa nguo hii...

So, mavazi ya Ubunifu na mengine, sogea tu pande za NANCY CLASSIQUE then utaona. Huu ni muonekano wa nyumba wa nguo hiyo hapo juu

NGUO ZA HARUSI

Pic: MO Design
Model Nancy Classique
Kushona mitindo ya NGUO ZA HARUSI ni kama jadi ya NANCY CLASSIQUE. Ni nguo zenye ubunifu wa hali ya juu na zilizo katika hadhi ya kimataifa.

Pic: MO Design
Model Nancy Classique
NGUO ZA HARUSI zipo nyingi na za aina mbalimbali, zipo zinazoshonwa hapa NANCY CLASSIQUE na zile zinazotoka nje ya nchi...

MISHONO YA VITENGE

Ukiambiwa nancy classique ni nancy classique kweli. Look at these nguo za vitenge then utasema mwenyewe...

Pic: MO Design
MAMA NANCY
mishono ya kila aina ya vitenge, ni chaguo lako tu. Huu ni muonekano wa nyumba.

Pic: MO Design
MAMA NACY
Huu ndio muonekano wake wa mbele...