Monday, February 11, 2013

GAUNI LA MTOKO

Pic: MO Design
Angalia mtindo wa gauni hili, hili sio la kitege, ni la kitambaa cha kawaida laini kizuri sana ambacho material yake lazima utapenda tu.Sina haja ya kukuambia vazi hili ni la kutokea muda gani na kwa ajili ya nini, naamaini kuwa unajua...so kazi kwako.

Pic: MO Design
CHEKI muonekano wake wa nyuma kama NDEGE TAUSI... magauni yako mengi na mitindo mingi, hii ni baadhi tu tunakuwa tunakuonesha ili uweze kupata picha ya kitu kilichopo ndani ya NANCY CLASSIQUE...

MITINDO YA VITENGE

Pic: MO Design
MITINDO YA NGUO ZA KITENGE ni mingi sana NANCY CLASSIQUE na wengi wamekua wakifika kujionea kwa macho...

Pic: MO Design
Na huu ndio muonekano wa VAZI hili kwa nyumba...

Saturday, February 2, 2013

SHELA

Pic: MO Design
Model
NGUO ZA HARUSI ZIKO NYINGI, na tumeshazoea kuziona kwenye sherehe nyingi za harusi mabibi harusi wakiwa wametinga kwelikweli, lakini mionekano ya mabibi harusi siku zote inakuwa ni ile ile na haitofautiani. but NANCY CLASSIQUE zipo nguo za harusi ( shela) ambazo maharusi wakivaa wanaonekana tofauti na mionekano ya kawaida. ni kwa vile tunazo shela nyingi za kisasa kabisa, jaribu kutembelea NANCY CLASSIQUE uojionee.