Thursday, January 31, 2013

SKETI NA BRAUZI YA KITENGE

Pic: MO Design
Model
Ni kawaida kwa wasichana au akina mama akivaa vazi au nguo iliyompendeza ni lazima aringe na atembee kwa mapozi, hata akisimama utamkuta anaweka mapozi tu asa akiwa na wenzie ambao tayari walishamsifia kuwa kapendeza... HEBU CHEKI HUYU DADA ALIVYOPENDEZA...
Pic: MO Design
Model
Huu ni muonekano wa upande wa nguo hii iliyompendeza dada huyu mrembo kama unavyoona...

Pic: MO Design
Model
Na huu hapa ni muonekano wa nyumba wa nguo hii...

1 comment: