Monday, February 11, 2013

GAUNI LA MTOKO

Pic: MO Design
Angalia mtindo wa gauni hili, hili sio la kitege, ni la kitambaa cha kawaida laini kizuri sana ambacho material yake lazima utapenda tu.Sina haja ya kukuambia vazi hili ni la kutokea muda gani na kwa ajili ya nini, naamaini kuwa unajua...so kazi kwako.

Pic: MO Design
CHEKI muonekano wake wa nyuma kama NDEGE TAUSI... magauni yako mengi na mitindo mingi, hii ni baadhi tu tunakuwa tunakuonesha ili uweze kupata picha ya kitu kilichopo ndani ya NANCY CLASSIQUE...

No comments:

Post a Comment